The House of Favourite Newspapers

MEYA WA MANISPAA YA UBUNGO ALIVYOFUTURISHA

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (kulia) akimkaribisha mmoja wa wageni waalikwa kwenye futari aliyoandaa.

MEYA wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, jana waliwafuturisha wakazi wa manispaa hiyo kwenye ofisi ya Kata ya Ofisa Mtendaji Kata ya Ubungo, Dar es Salaam, ambapo tukio hilo lilihudhuriwa na umati wa wakazi wa eneo hilo na wapita njia.

Baada ya kufuturu wakazi hao walimshukuru meya huyo kwa kitendo hicho cha kuwakumbuka katika mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

Matukio katika picha:

Wananchi wakisubiri muda wa kufuturu.

Meya akiongoza (kulia) mstari katika ‘bufee’

 

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.