The House of Favourite Newspapers

Mfanyabiashara wa Shivacom Afariki Dunia

0

Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Tanil Kumar Chandulal Somaiya amefariki dunia jana Jumatano, Agosti 11, 2021 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo ya biashara ambayo Somaiya alifanikiwa kwa kiasi kikubwa ni Mawasiliano (Shivacom) na Ulinzi (Ultimate Security).

 

Familia imewaomba waombolezaji kutoenda nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya msiba.

Leave A Reply