The House of Favourite Newspapers

Miche Bora Inayozaa Matunda kwa Muda Mfupi

0

Karibu ujipatie miche bora ya kisasa ya matunda yenye afya na ustawi mzuri wenye mazao mengi,miche yetu inatokana na ubebeshwaji (grafting),budding na Hybrid seed.

 

Miche tuliyonayo ni embe chungwa, limao, ndimu, chenza, fenesi, staferi, pera, zaituni, strawberry, komamanga, papai,parachichi,minazi mifupi, pilipili mwendokasi n.k

 

Tuna aina tofauti tofauti ya mishe bora ya matunda mfano;
Aina za embe tulizonazo ni;
✓ Red Indian
✓Tommy
✓Alfonso
✓Apple mango
✓Dodo
✓Bolibo
✓Palma
✓Kent
✓Keit
✓Mayer nk.

 

Karibu tukuhudumie ndani ya mipaka yote ya Tanzania,tunapatikana Morogoro mjini ndani ya chuo kikuu cha sokoine cha kilimo (SUA) na pia tusafirisha miche yetu kila kona ya nchi.
Miche yetu inapatikana kwa bei nafuu sanaaaa, tutafute kwa namba 0621436829.

 

 

TUTUMIE TANGAZO LA BIASHARA YAKO TUKUTANGAZIA BURE KUPITIA #GULIO
TUTUMIE HABARI, MAKALA YAKO TUTAKUPOSTIA BURE KUPITIA #JAMVINI
WahtsApp: +255 689 294 202
Leave A Reply