Miss Universe Tanzania 2015, Lorraina Marriot katika pozi na warembo wenzake
Mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Urembo ( The 2015 Miss Universe), Lorraina C. Marriot (kushoto) ambaye ni Miss Universe Tanzania 2015 akipozi na Giada Pezzaioli, Miss Universe Italy 2015. Warembo hao walikuwa wakitalii na kufanya mazoezi kwa ajili ya michuano hiyo kufanyika DIC Crown in Las Vegas. Kuona maandalizi na michuano yote ya DIC Crown in Las Vegas angalia live kupitia FOX telecast saa 7:00 usiku Jumapili, Desemba 20, mashindano yatafanyikia Planet Hollywood Resort & Casino iiliyopo Las Vegas Marekani. (Picha na Darren Decker).
Kutoka kushoto ni Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania 2015; Aniporn Chalermburanawong, Miss Universe Thailand 2015; na Mikaela Eleni Fotiadi, Miss Universe Greece 2015; tembelea Zappos.com Jumanne, December 8. Imetolewa na Mkuu wa Idara ya The Miss Universe Organization. (Picha na Darren Decker).
Lorraine Marriot akiwa Las Vegas. (Picha na Fadil Berisha).