The House of Favourite Newspapers

MJADALA HOT: PIERRE LIQUID KUPAA GHAFLA KISANII

Msanii Peter Mollel almaarufu Pierre Liguid amekuwa maarufu ghafla baada ya Timu ya Taifa, Taifa Stars kuibuka mshindi na kutinga AFCON.

Msanii huyu amesifiwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na ameonana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, mawaziri na wabunge huku wote wakimwagia sifa.

Unadhani kwani nini Pierre amekuwa maarufu ghafla hadi kwa uongozi wa juu kabisa nchini?

Jadili, lakini epuka matusi tafadhali.

Comments are closed.