MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID
Mshindi wa gari la tano aina ya Renault Kwid katika promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani Mkazi wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, amekabidhiwa zawadi yake na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Comments are closed.