The House of Favourite Newspapers

Video: Mke Wa Bakhresa Wa Tabata Aliyechomwa Moto Afunguka Mazito, ”Walimchoma Tumboni Bisibisi”

0
Kijana Gidion Sanaa almaarufu Bakhresa aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kuendesha bodaboda.

Kijana Gidion Sanaa almaarufu Bakhresa aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kuendesha bodaboda, ameuawa kikatili kwa kupigwa na kuchomwa moto akituhumiwa kuiba betri za pikipiki.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, Bakhresa alienda kupaki pikipiki sehemu anapolaza kila siku lakini alipofika, aliwakuta vijana kadhaa waliokuwa wakijaribu kuiba vifaa vya pikipiki zilizopaki eneo hilo ambapo inadaiwa kuwa alipowahoji walikuwa wanafanya nini, ndipo walipomgeuzia kibao na kumpigia kelele za mwizi zilizowashtua walinzi wa eneo hilo ambao walifika na kuanza kumshambulia kisha kumchoma moto.

Leave A Reply