The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video

0

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amefika kukagua ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya, ambayo miezi kadhaa iliyopita aliagiza kusimamishwa kwa shughuli zake kutokana na ubovu wa mazingira yaliyokuwepo.

Magoti amewashukuru wadau mbalimbali walioguswa na kushiriki kuchangia hadi kufikia hatua ambayo madrasa hiyo imefikia na kueleza kuwa mwanzo alipoifunga madrasa hiyo, wapo watu ambao walidai kuwa ‘amekuja kuvunja Uislamu’ katika wilaya hiyo.

Leave A Reply