MNAOSEMA SANCHI ANAJIEDITI NI WIVU TU!

Modo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema wanaomuwekea picha mbaya kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha anajiediti, wansumbuliwa na wivu.

Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Sanchi alisema kuna watu ni vigumu mno kumkubali mtu na kumsifia mtu mzuri, badala yake bora amchafue na kuwaonesha watu kuwa anajitengeneza. “Imekuwa ni ngumu sana mtu kumkubali mwenzake kuwa amejaaliwa, basi lazima aweke chochote tu kumuonesha si lolote ilimradi tu asikubaliane na wengine,” alisema Sanchi.


Loading...

Toa comment