The House of Favourite Newspapers

Mnorway kumng’arisha Malaika

0

Carl Hovind  (3)Carl Hovind

PRODYUZA aliyetengeneza Ngoma ya My Life ya Dogo Janja, Carl Hovind anatarajia kutua Bongo kumng’arisha staa wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ kwa kumtengenezea ngoma mbili.

MALAIKADiana Exavery ‘Malaika’

Akichonga na Showbiz Xtra, Malaika ambaye yupo chini ya lebo kutoka Norway alisema kuwa mbali na prodyuza huyo pia ‘wazungu’ wanaosimamia kazi zake wanaotokea Norway watahusika katika kumtengenezea video ya wimbo wake mpya wa Raruararua.

“Ni moja ya bahati kuwepo katika lebo kutoka Norway,” alisema Malaika.

Malaika alikuwa akisimamiwa kazi zake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni waliripotiwa kuachana.

Leave A Reply