The House of Favourite Newspapers

MOSE IYOBO: Aunt Alinikasirisha Sana – Video

Mzazi mwenziye na Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amezungumza na Global TV Online na kuelezea jinsi alivyopokea wazo la mpenzi wake huyo la kutaka kumchezesha mtoto wao Cookie katika filamu ya MAMA.

Iyobo amesema baada ya kuiona Short Film hiyo na kumshuhudia mwanae akilia alikasirika sana na kumuuliza Aunt kwanini mtoto wake amelia kwenye filamu hiyo?

VIDEO: MSIKIE IYOBO AKIFUNGUKA

Comments are closed.