The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: Hapa Ndipo Anapoishi CHID BENZ, Amtaja DIAMOND – Video

KATIKA kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemuibukia Rapa Maarufu Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ ambaye kipindi cha nyuma alitaamba na ngoma zake kibao ikiwemo ile ya Dar es Salaam Stand Up.

 

Chid Benz na mama yake mzazi wanaishi maeneo ya Chanika Masantula kupitia kipindi cha Mpaka Home, Chid na mama yake wamezungumzia mambo mbalimbali yanayowahusu ikiwemo maisha ya msanii huyo kwa sasa kiujumla.

VIDEO: MSIKIE CHID HAPA

Comments are closed.