The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: MAISHA HALISI YA MWARABU FIGHTER – VIDEO

GLOBAL TV Online imefunga safari usiku wa manane hadi nyumbani kwa Baunsa wa Diamond, Mwarabu Fighter na kufanikiwa kufanya naye mahojiano kuhusu maisha yake na familia yake.

Ikumbukwe kuwa hivi karibuni Mwarabu alivuma mitandaoni kwa sakata la kubanjuka na demu wa Harmonize, Sarah, msikie ana majibu gani kuhusu madai hayo.

 

MSIKIE MWARABU AKIFUNGUKIA MAISHA YAKE NA TUHUMA HIZO

Comments are closed.