The House of Favourite Newspapers

Mpoto alivyogeuka kivutio Usiku wa Kusi, Dar Live (Picha + Video)

Mpoto akicheza Wimbo wa Nimwage Radhi na Harmonize
Akiimba kwa hisia na mashabiki
akiamsha shangwe na mashabiki jukwaani
Akiwasalimia mashabiki kwa ishara ya kunyanyua mikono miwili

STAA wa Nyimbo za Asili, Mrisho Mpoto usiku wa kuamkia Jumapili ndani ya Usiku wa Kusi, Dar Live aligeuka kivutio kwa mashabiki wengi waliojitokeza mara baada ya kupanda jukwaani na kuimba na Harmonize Wimbo wa Nimwage Radhi.

 

Katika wimbo huo, Mpoto alisababisha kupata shangwe za kutosha pale alipokuwa akiimba kwa staili ya kunyanyua mguu mmoja juu huku muda mwingi akiutumia kuimba kiitikio cha Nimwage Radhi na mashabiki.

 

Mwisho kabisa alimpongeza Harmonize kwa usiku ule uliokaa kiasili.

PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS /GPL

Comments are closed.