The House of Favourite Newspapers

Video: Mr Blue, FA Walivyokinukisha Kwenye Jukwaa la #KomaaConcept Dar

0

Tamasha hilo lilitawaliwa na wasanii kama Dog Aslay, Mr. Blue,Young D, Msaga Sumu, Shalo Mwamba na wengineo waliotoa burudani za kutosha kwa mashabiki wa muziki.

Vile vile, kulikuwa na mchezo wa bahati nasibu uliochezeshwa na kampuni ya BIKO ambao walikuwa wadhamini wakubwa wa tamasha hilo ambapo mshindi katika mchezo huo aliondoka na zawadi ya shilingi ya milioni kumi kwa kutumia elfu moja tu kuchezea bahati nasibu hiyo.

Efm redio imekuwa ikifanya tamasha hilo kwa lengo la kuwashukuru wasikilizaji wake pamoja na kuendelea kuongeza masafa ya redio katika mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Leave A Reply