The House of Favourite Newspapers

Mrisho Mpoto na Harmonize Wafunika Usiku wa Kusi (Pichaz +Video)

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize akiongea na mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.

 

Msanii Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ (kulia) yakiimba wimbo wake mpya na Harmonize, ngoma unaitwa Nimwage Radhi.

Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ akiongea na mashabiki.

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize na Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ wamekuwa kivutio kwa mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.

Katika shoo hiyo iliyoandaliwa na Global Publishers kwa kushirikiana na Wasafi Classic Baby (WCB), kulishuhudiwa mastaa hao wa Hip Hop Bongo wakitumia muda mwingi kuchana na mashabiki mstari kwa mstari huku baadhi yao wakijirusha kucheza na mashabiki.

Comments are closed.