The House of Favourite Newspapers

Msajili wa Vyama vya Siasa Awaandikia Chadema Barua Kuwata Wajieleze

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kujieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Chadema waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.

Comments are closed.