The House of Favourite Newspapers

Msanii Bongo Movie Aukacha Uigizaji, Kisa… – Video

MSANII mkongwe wa Filamu nchini, Waridi Kurudi, ambaye kwa miaka kadhaa alikuwa ameitupa mkono tasnia ya uigizaji, amesema kuwa kisa cha kuadimika kwenye tasnia hiyo ni kutokana na familia yake kuchukizwa na maisha ya umaarufu aliyokuwa akiishi na kuandikwa kwenye vyombo vya habari.

 

Aidha, Waridi amesema kuwa aliamua kupumzika kidogo kazi ya uigizaji na kujikita kwenye wokovu ambapo kwa sasa yeye ni mlokole na endapo itatokea akarudi tena kwenye uigizaji basi anatamani kuigiza filamu zenye maadhi ya dini.

 

VIDEO: MSIKIE AKIFUNGUKA

Comments are closed.