The House of Favourite Newspapers

Msanii wa Filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ Afunguka Kumtuliza Mzazi Mwezie Majizo

0
Msanii wa Filamu nchini  Elizabeth Michael  ‘Lulu’ akiwa na mume wake Francis Ciza maarufu kama Majizo.

Msanii wa Filamu nchini  Elizabeth Michael  ‘Lulu’ amefunguka kilichosababisha kumtuliza mzazi mwezie,  Francis Ciza maarufu kama Majizo.

Akizungumza na IJUMAA hivi karibuni  mwanamama huyo amesema kuwa kwenye uhusiano wao misingi ya ukweli na utofauti ndiyo imewafanya hadi sasa wapo pamoja.

“Kitu ambacho nimefanya hadi kuweza kutulia na mume wangu baba G  ni misingi ya kuwa ‘real’, kingine labda kuna vitu tofauti ameviona kutoka kwangu ndiyo maana nimetulia,” alisema Lulu.

STORI:KHADIJA BAKARI

MAKOCHA WA YANGA, POLISI TANZANIA, WANAZUNGUMZA KUELEKEA MCHEZO WAO KESHO…

Leave A Reply