testiingg
The House of Favourite Newspapers

Msemaji wa Yanga, Haji Manara Afunga Ndoa na Msaidizi Wake Binafsi – Picha Zipo Hapa

0

Msemani wa Yanga, Haji Manara Septemba 26, 2022 amefunga ndoa na Rushaynah, mwanamke ambaye Haji alionekana naye alipokwenda kutembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na alipoulizwa alisema kuwa ni msaidizi wake binafsi.

 

Hatua hii inakuja ikiwa ni siku chache tangu Manara alipotangaza kwamba yupo kwenye mchakato wa kutoa talaka kwa mke aliyekuwa akiishi naye alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio hapa nchini.


Leave A Reply