The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen Ashinda tuzo ya mchezaji bora Afrika

0

Mshambuliaji wa klabu ya Napoli na timu ya Taifa ya Nigeria Victor Osimhen ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2023 akiwapiku Hachraf Hakimi (Morocco) na Mohamed Salah (Misri).

Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria, Asisat Osoala ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Mwaka Afrika kwa Wanawake akiwapiku Thembi Kgatlana wa Afrika Kusini na Barbara Banda wa Zambia.

Kipa wa Al Hilal ya Saudi Arabia na timu ya Taifa Morocco, Yassine Bounou ameshinda tuzo ya kipa bora wa Mwaka 2023 Afrika akiwabwaga Andre Onana wa Cameroon na Manchester United na Mohamed El Shenawy wa Misri na klabu ya Ah Alhy.

UTATA! ‘KONEKSHENI’ za MASTAA ZINAZOVUJA MITANDAONI – KUNA UMUHIMU wa KUREKODI? | KONA ya MTAA…

Leave A Reply