The House of Favourite Newspapers

Kocha timu ya Taifa ya Morocco Ashinda Tuzo ya Kocha Bora, Benchikha wa Simba Apigwa Chini

0
Walid Regragui

Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco kumaliza nafasi ya nne kwenye michuano ya kombe la Dunia la Qatar 2022.

Regragui amewashinda kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha na Aliou Cisse wa Senegal.

Kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha

Leave A Reply