The House of Favourite Newspapers

MSHINDI WA PILI BSS: “Niliumia Sana Alivyotangazwa Sarafina Mshindi” – VIDEO

Shindano la Bongo Star Search ‘BSS’ mwaka 2018 lilikuwa na ushindani mkubwa tofauti na miaka yote kutokana na shindano hilo kutokuwepo kwa muda mrefu na kisha kuibuka tena mwaka jana ambapo taji la ushindi lilikwenda kwa Mwanadada Sarafina akifuatiwa na Sagwire Mwasongwe.

Global TV imepiga stori na Sagwire ambaye amesimulia A-Z alivyoanza harakati zake mpaka kufika shindano hilo huku akiweka wazi kuwa aliumizwa sana na matokeo ya shindano hilo kwani hakutegemea kuwa mshindi wa pili.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.