The House of Favourite Newspapers

MCHUMBA WA AMBER RUTTY – “Mama wa Amber Rutty Alinizuia kuja Harusini”

Mchungaji Komando Mashimo ambaye amepata umaarufu mkubwa baada ya kujitokeza na kumdhamini Mwanamuziki Amber Rutty na Mumewe Said, amezungumza na Global TV na kuelezea kwanini hakuhudhuria katika Ndoa ya Wawili hao.

Mchungaji Mashimo amesema kulitokea tofauti kati yake na familia ya Amber Rutty ambazo ndizo zilizomzuia kufika harusini na akafafanua pia kuhusiana na dhamana ya wawili hao ambao wanakabiliwa na kesi ya kusambaza video za ngono mitandaoni.

Comments are closed.