Msikilize January Makamba akitoa ufafanuzi wa picha
January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.
Katika utetezi wake, Makamba amesema picha hizo hakuziweka yeye bali ziliwekwa na vijana wengine ambao ilibidi awatafute wampe ufafanuzi wa picha hizo baada ya kuzua gumzo mitandaoni na katika baadhi ya magazeti

Msikilize January Makamba akiongea hapa chini

Comments are closed.