Msimu Mpya wa Tigo Fiesta 2019 wazinduliwa rasmi

Meneja Mawasiliano wa wa  Tigo Woinde shisael  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 kushoto kwake ni  Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema jana katika ofisi za Clouds Media Group.

Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati wa. Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019

Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 likiwa na maandalizi lukuki ikiwemo burudani na promosheni kabambe

 


Loading...

Toa comment