The House of Favourite Newspapers

MSONDO ILIVYOKIWASHA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI

Bendi ya kongwe ya Msondo Music usiku wa kuamkia Juni 29, 2019 ilifanya makamuzi ya nguvu kwenye baa ya Kisuma iliyopo Mbagala Sabasaba Dar.

Romani Mng’ande maarufu Romario (kushoto) na Athumani Kambi wakikiwasha ile mbaya.
Shabiki akimtunza Hassan Moshi ‘TX Junior’ baada ya kumkubali kazi yake.
Watu wakiserebuka.
Mzee Mabera hatakagi mchezo kazini, yeye ni uso wa kazi tu.
Shabiki akiwa amevamia steji baada ya kupandwa mizuka.

Comments are closed.