The House of Favourite Newspapers

Mtandao wa Jumia Wafunga Biashara Tanzania

MTANDAO wa kimataifa wa biashara wa Jumia wenye makao makuu nchini Nigeria, umesimamisha shughuli zake nchini Tanzania tangu Novemba 27, 2019.


Taarifa ya shirika hiyo  pamoja na kuendesha shughuli zake hapa nchini, imeona ielekeze nguvu zake katika masoko mengine.

Kampuni hiyo ilikuwa inajishughulisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali katika fani mbalimbali.

Kampuni hiyo bado inaendesha biashara katika nchi za Afrika zikiwemo Nigeria, Egypt, Morocco, Kenya, Ivory Coast, South Africa, Tunisia, Algeria, Ghana, Senegal, Uganda na Rwanda.

Comments are closed.