The House of Favourite Newspapers

Mtanzania Apigwa Risasi na Kuuawa Marekani, Aporwa Gari

0

henryMarehemu Henry Kiherile enzi za uhai wake.

Ndugu Wanajumuiya,

Tunasikitika kuwataarifu juu ya mauti yaliyomkuta mwanajuiya mwenzetu hapa Houston Marehemu Henry Kiherile.

Marehemu alikumbwa na mauti na kuaga dunia juzi April/ 06/2016 usiku saa tano na nusu kwa kupigwa risasi mbili na kuporwa gari lake.

Mwili wa marehemu uko chini ya uchunguzi ukisubiri kupelekwa Funeral Home. Ndugu Wanajumuiya tutakuwa na MKUTANO kwa ajili ya huu MSIBA siku ya Ijumaa (04/08/2016) katika anuani hii hapa chini:

Anuani :
8107 Meadows Pond DR,
Missouri City, TX, 77459

Tarehe : April /08/2016 { FRIDAY }

Muda : 6 PM

Henry ni Mtanzania mwenzetu hapa Houston na ana Family members hapa.

Marehemu ni mpwa wa Lucy Tenende, na pia ni Mpwa wa Mathew Mohono.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na:

Lennard Tenende (713) 540-6355
Lucy Tenende (832) 338-7222
Matthew Mohono (281) 804-6478

Imetolewa na : THC Spokesman

 920x920Polisi wakiwasili eneo la tukio.
Stori zaidi: http://bit.ly/1qzA8Nc
Leave A Reply