The House of Favourite Newspapers

Mtendaji Aliyechukua Mbao Za Bibi Achukua Laki 3 Tena Za Mtuhumiwa Arusha – Video

0

Mama aliyejitambulisha kwa jina la Ruthila John mkazi wa Lemara Jijini Arusha amezungumza na Global Tv na kutoa madai ya Mtendaji wa Kata ya Daraja mbili kuchukua pesa za mahari shilingi laki tatu kama utangulizi alizolipa Jonathan ili aweze kumuoa binti aliyempa mimba na baadae Mtendaji kuwageuka.

Leave A Reply