The House of Favourite Newspapers

Muasisi wa Chadema, Mzee Kimesera Azikwa Makaburi ya Kinondoni -Pichaz

Jeneza lililokuwa na mwili wa muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), marehemu Victor Kimesera likiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Machi 29 kwa ajili ya mazishi.

MWANASIASA mkongwe nchini ambaye alikuwa muiongoni mwa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Victor Kimesera ameibua simanzi, vilio na majonzi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika,  jana Machi 29, 2028, katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.