The House of Favourite Newspapers

Muna Amkana Steve Nyerere, Aanika Sauti Zake – Video

Muigizaji maarufu Bongo, Muna Love ameanika wazi maongezi yake aliyozungumza na muigizaji mwenzake, Steve Nyerere wakati alipokuwa Kenya akishughulika kusafirisha mwili wa mwanaye, marehemu Patrick.

 

Kufuatia sauti hiyo Muna amekanusha taarifa iliyotolewa na Steve Nyerere akisema kwamba amekubali msiba ufanyike Mwananyamala katika nyumba anayoishi Peter Zacharia Komu.

Comments are closed.