The House of Favourite Newspapers

MUSUKUMA Awasha Moto Bungeni – Video

MBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ akichangia katika Bajeti ya Wizara ya Madini amewaomba Wabunge kuchangia mada ambazo zipo kwenye jimbo sio kuropoka mambo yasiyo na tija kwa taifa.

 

Musukuma amesema kuwa Wizara hiyo ipo tofauti na sasa huku akisema ni vizuri sana kile ambacho unakimiliki na unachokijua uchangie kwa weledi sio kuongea hovyo.

 

Musukuma amemshauri Waziri wa Wizara hiyo, Angella Kairuki kutembelea sehemu hizo za migodi ili kumaliza migogoro ambayo inajitokeza.

MSIKIE AKIFUNGUKA

Comments are closed.