The House of Favourite Newspapers

MLINGA: Tafadhari, Naomba Tuheshimiane – Video

MBUNGE wa Ulanga kwa Tiketi ya CCM, Godluck Mlanga akichangia katika Hotuba ya Waziri wa Madini hukusu bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2018/19, amewapa angalizo viongozi wa wizara hiyo wanaohujumu jitihada za Serikali kwa kujimilikisha maeneo yenye madini kinyume cha sheria.

 

Mlinga amedai kuwa amekuwa akiwaeleza watumishi hao lakini wanamjibu kuwa anaongea kisiasa jambo ambalo ametaka asidharauliwe bali aachwe afanye kazi yake kama mbunge wa eneo husika.

 

Aidha, Mlinga akisisitiza kuwa yeye kama mtetezi wa wananchi atahakikisha hakuna madini yatakayoibiwa ndani ya jimbo lake kwa muda wote wa uongozi wake kama mbunge.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.