The House of Favourite Newspapers

Mvua ya Siku Moja Soko la Makumbusho Haliingiliki

Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo imesababisha Soko Kuu la Makumbusho jijini Dar kushindwa kuingilika kufuatia kujaa maji sehemu ya mlango mkubwa wa kuingilia. Hali hiyo imesababisha wafanyabiashara katika soko hilo kuutupia lawama uongozi wa soko hilo kwa kushindwa kuboresha miundombinu wakati wakitozwa ushuru.

PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL    

Comments are closed.