The House of Favourite Newspapers

Mwakyembe Awateua Mwana FA, Richie Mtambalike BASATA

WASANII Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ na Single Mtambalike ‘Richie’ wameteuliwa kuwa wajumbe ya Bodi ya Baraza la Sanaa Tanzania – BASATA,uteuzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

Comments are closed.