Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye wamezindua kitabu chenye taarifa za watumiaji wa huduma za mawasiliano.
Uzinduzi huo unafanyika katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam.
Comments are closed.