The House of Favourite Newspapers

Mwanahabari Makongoro Oging’ Azikwa Tarime

0

MJANE WA MAREHEM, NAZA JUMA AKIAGA

Mke wa Makongoro, Naza Oging’ akimuaga mumewe kwa simanzi nzito.

MAMA WA MAREHEM AKIAGA

Mama mzazi wa marehemu aitwaye Magreth Oging’ akimuaga mwanaye kwa majonzi.

MKE WA MAREHEM BI. NAZA JUMA AKIAGA

Mtoto wa kwanza wa marehemu, Leah Makongoro akimuaga baba yake.

MDOGO WA MAREHEM AITWAE JUMA OGING' AKIAGA

Mdogo wa marehemu aitwaye Juma Oging’ akimuaga kaka yake.

DADA WA MAREHEM AKIAGA

Dada wa marehemu akimuaga kaka yake kwa simanzi.

HILALY WA GLOBAL TV, AKIMZIKA MAKONGORO

Hilaly Daud akiweka udongo kwenye kaburi la Makongoro Oging’.

KAKA WA MAREHEM AITWAE NELSON AKIMZIKA MDOGO WAKE

Kaka wa marehemu aitwaye Nelson Oging’ akiweka udongo kwenye kaburi la mdogo wake.

KAKA WA MAREHEM WAKIFARIJIANA-001

Kaka wa marehemu wakifarijiana.

KAKA WA MAREHEM, NELSON OGING' AKIWEKA SHADA

Kaka wa marehemu aitwaye Nelson Oging’ akiweka shada la maua kwenye kaburi la mdogo wake.

MADADA WA MAREHEM WAKIWEKA SHADA

Madada wa marehemu Makongoro wakiweka mashada kaburini.

AFISA TAWALA WA GLOBAL, SOUD KIVEA AKIWEKA SHADA KWA NIABA YA GLOBAL

Ofisa Utawala wa Global Publishers, Soud Kivea akiweka shada la maua kwa niaba ya wafanyakazi wa Global kwenye kaburi la Makongoro Oging’.

MAMA WA MAREHEM AKILIA KWA UCHUNGU

Magreth Oging’ akiwa na simanzi nzito.

MAMA WA MAREHEM BI MAGRETH OGING' AKIFARIJIWA NA KAKA WA MAREHEM AITWAE GEORGE-001

Kaka wa marehemu aitwaye George Oging’ akimfariji Magreth Oging’.

MAMA WA MAREHEM NA MJANE WAKILIA

Mama wa marehemu Magreth Oging’ na mke wa marehemu Naza Oging’ wakilia kwa uchungu.

MAMA WA MAREHEM, MAG

Magreth Oging’ akiweka shada kwenye kaburi la mwanaye.

SIFAEL PAUL AKIZIKA

Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul akiweka udongo kwenye kaburi la Makongoro.

MKE WA MAREHEM AKIWEKA SHADA

Naza Oging’ akiweka shada kwenye kaburi la mumewe.

MKE WA MAREHEM, NAZA JUMA NA MTOTO WAKE, LEAH WAKILIA

Leah na Naza wakilia kwa huzuni.

MKE WA MAREHEMU, NAZA JUMA AKIWEKA UDONGO KUASHIRIA KUMZIKA MUMEWE

Naza akiweka udongo kwenye kaburi la mumewe.

MTOTO WA MAREHEM, LEAH MAKONGORO AKIWEKA UDONGO KABURINI

Leah Makongoro akiweka udongo.

MTOTO WA MAREHEM, YOHANA MAKONGORO AKIAGA

Mtoto wa Makongoro, Yohana Makongoro akilia kwa simanzi nzito.

MWANDISHI MWANADA

Mwandishi Mwandamizi na Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (katikati) akiweka udongo kwenye kaburi la Makongoro.

MWILI UKIINGIZWA KABURINI (1)

Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa mbele ya waombolezaji.

MWILI UKIINGIZWA KABURINI (2)

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (mwenye miwani) akisaidiana na waombolezaji kupeleka jeneza la Makongoro kaburini.

MWILI UKIINGIZWA KABURINI (3)  WAFANYAKAZ WA GLOBAL BAADA YA KUZIKA (2)

Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa mbele ya kaburi la Makongoro.

WATOTO WA MAREHEM WAKIWEKA SHADA

Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua.

MAZIKO ya aliyekuwa Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la Uwazi linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, Makongoro Oging’ yamefanyika jana nyumbani kwao katika Kijiji cha Marasibora wilayani Tarime mkoani Mara.

Makongoro Oging’ aliaga dunia jioni ya Mei 21 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuagwa juzi Mei 26 katika hospitali ya Amana, Ilala ambapo siku hiyo hiyo mchana, safari ya kuusafirisha mwili wake kuelekea kijijini kwao Marasibora, Tarime ilianza.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL –  MARASIBORA, TARIME

Leave A Reply