The House of Favourite Newspapers

MWANAMUZIKI WALID ALIVYODATISHA WABONGO MASAKI DAR

Walid (kushoto) na wapambe wake wakiingia ukumbini.

MWANAMUZIKI wa Kibongo aliyekuwa akifanyia kazi ya muziki nchini Uholanzi, Walid Ali,  ambaye anabamba na vibao vya Dunia na Ni Wewe,  usiku wa kuamkia leo amefanya pati ya kurudi rasmi nchini ambayo ilifanyika Klabu ya Paparazzi iliyopo Masaki Jijini Dar.

Akiambiwa jambo na Meneja wake, Alma Bronxi.

Walid alisema sasa amehamishia rasmi kazi yake hiyo hapa nchini baada ya kumaliza masomo yake Uholanzi.Katika pati hiyo Walid aliudatisha umati uliofurika kwenye klabu hiyo ambapo madada walionekana kubanjuka kwa staili ya chura kutokana na mdundo uliokuwa ukiporomoshwa

Baadhi ya madada wakiwa katika mkao wa kusubiri shoo ya Walid kuanza.
Mashabiki wakipagawishwa na msanii huyo.
Mmoja wa mashabiki akikumbatiana na Walid baada ya kukunwa na makamuzi yake.
Mambo yalipokolea ukumbini.

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.