The House of Favourite Newspapers

Mwanariadha Caster Semenya afunga ndoa na mwanamke mwenzake

0

semenya

Mwanariadha wa kike nchini Afrika Kusini aliyeshinda mbio za mita 800 kwenye mashindano ya Olimpiki, Caster Semenya amefunga ndoa na mwanamke mwenzake.

Semenya amemuoa mwanamke aitwaye Violet Raseboya ambaye alikuwa ni mpenzi wake wa siku nyingi kwenye harusi ya kitamaduni iliyofanyika wikiendi iliyopita.

semenya 2

Wapenzi hao walifunga ndoa Ga-Dikgale karibu na Wilaya ya Capricorn huko Limpopo nchini Afrika Kusini.

Zifuatazo ni baadhi ya meseji za mashabiki wa Semenya walioongelea harusi hiyo kupitia mtandao wa Twitter.

 

Leave A Reply