The House of Favourite Newspapers

MWANZA: WASAFI WAANGUSHA BONGE LA PARTY, DUDU BAYA AIBUKA NA KIFAA

Konki Konki Konki Master, Dudubaya Oil Chafu, akiwa na kifaa chake, Hadija Zilota na mwanae Maria Godfrey Tumaini (kulia).

Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) katika kuonesha wameikamia shoo yao ya Wasafi Festival inayotarajiwa kufanyika leo Jumamosi usiku wa kuamkia leo wameangusha bonge la Pre Party kwenye Ufukwe wa Jembe ni  Jembe jijini Mwanza.

Mondi akiwa bize na simu wakati mambo yakiendelea.

Crew ya Wasafi waliwasili jijini humo jana wakiongozwa na mwanamuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

 

Gigy Money akifanya yake.

Katika hafla hiyo ya jana usiku, baadhi ya mastaa waliyokuwepo ni Diamond mwenyewe, Lavalava, Young Killer, Gigy Money, Wolper, Chin Bees, Dudu Baya na wengine.

Wadada wakiwachabo Wasafi kwa mbaaali baada ya kuzuiliwa na mabaunsa kuwakaribia.

Mashabiki Wamvamia DIAMOND Hotelini Mwanza ”WASAFI FESTIVAL”

Mashabiki wa Jiji la Mwanza leo Jumamosi ya Desemba 15, 2018, watashuhudia Bonge la Shoo kutoka kwa WCB katika Uwanja wa CCM Kirumba.

Wolper akisasambua juu ya meza.
Hawa waliamua kuonesha umahiri wao wa kukata nyonga.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL- MWANZA 

Comments are closed.