The House of Favourite Newspapers

Mwenyekiti Bavicha Akamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Patrick Ole Sosopi pamoja na wenzake wawili wamekamatwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufanya shughuli za kisiasa ikiwemo kampeni za nyumba kwa nyumba.

 

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amesema watu hao wamekama Ifaraka na wapo njiani kupelekwa kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro.

 

LIVE: JPM Akizungumza Na Wafanyabiashara 1000

Comments are closed.