The House of Favourite Newspapers

Mzee Kambaulaya Afariki Dunia

0

MSANII maarufu ambaye pia ni mwanahabari mkongwe, Mzee Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mzee Kambaulaya amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Januari 4, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa zaidi tutakujuza kuhusu msiba huo.

Leave A Reply