The House of Favourite Newspapers

Mzungu Anayejiita Magufuli, Ajenga Visima 100 Mkuranga

Mwanamama maria kutoka nchini selisheli Amekuwa akifanya Maendele katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania zaidi Wilayani Mkuranga Ambako  Amejenga zaidi ya Visima mia moja ikiwa ni juhudi za kufanya maendeleo katika maeneo mbali mbali na kuwasaidia wamama wanaopitia mazingira magumu ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maji.

Comments are closed.