The House of Favourite Newspapers

‘Mzungu wa Makonda’ Anayedaiwa Kujiuza Afikishwa Kisutu -Video

0
Mtuhumiwa huyo alopofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kukabiliana na kesi yake.

MWANAMKE Mzungu anayejulikana kwa jina la Monique Honsbeek anayedaiwa kufanya ukahaba katika Jiji la Dar es Salam leo amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Victoria Nongwa na kusomewa shitaka moja la kuishi nchini bila kibali.

Mtuhumiwa amekana shitaka hilo  na akatakiwa kusaini  bondi ya dhamana ya Sh. milioni moja na wadhamini wawili wa Tanzania.  Kesi yake imeahirishwa hadi Septemba 27 mwaka huu.

Changudoa Mzungu Apandishwa Mahakama ya Kisutu – Dar

Leave A Reply