The House of Favourite Newspapers

Nabii Kiboko ya Mapepo Kufanya Miujiza ya Funga Mwaka – Video

Kwa mara ya kwanza, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministry International linawaletea kongamano la kuvuka mwaka 2017 kuingia mwaka 2018 litakalofanyika Desemba 31, 2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja mkabala na Kituo cha Baridi jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 12:00 jioni hadi kuvuka mwaka.

Nabii wa Mungu Pastor Malachi ‘Kiboko ya Mapepo’ atakuwepo kukuvusha kwa maombi na sauti ya Mungu kusikika, Kuvunja vyungu, uponyaji na kufunguliwa vitatawala siku hiyo ya kihitoria.

Walemavu watatembea, vipofu wataona na pia viziwi watasikia.

Kwa Maelezo zaidi, piga namba zilizopo kwenye tangazo juu ama +255(0) 767 577 157.

Karibuni!

 

 

 

TAZAMA VIDEO YA NABII MALACHI

Comments are closed.