The House of Favourite Newspapers

NABII NYAKIA NA VIONGOZI WENZAKE WATEMBELEA GLOBAL LEO

Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Sifael Paul (kulia) akiwapa maelekezo Nabii Nyakia (mwenye shati jekundu lenye mistari) na viongozi wenzake.

NABII James Nyakia ambaye ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda Kinyantira Jijini Dar es Salaam,  leo ametembelea ofisi za Global Group zilizoko jengo moja na magazeti ya Global Publishers na Global TV.

Nabii huyo akiwa na viongozi wenzake wa kanisa hilo walizunguka kwenye vitengo mbalimbali na kuona jinsi matayarisho na  uzalishaji unavyofanyika.

Akiwaonyesha magazeti ya Global.

Wageni hao wakiendelea kupata maelezo.

Nabii Nyakia akisalimiana na mwandishi Walusanga Ndaki

Wakiwa kitengo cha Teknolojia na Mawasiliano (IT)

Akitabasamu kutokana na maelezo mbalimbali aliyopewa.

Sifael akiwa kwenye studio za Global TV na wageni hao.

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

 

 

Comments are closed.