Nafasi za Kazi 83 MDAs & LGAs, AFISA WA SHERIA DARAJA LA II
POST | AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II) – 83 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2023-04-19 2023-04-25 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kutoa ushauri na kufanya utafiti wa kisheria pale anapohitajika kulingana na Wizara, Idara ya Serikali ama sehemu aliko;
ii. Kufanya mawasiliano na Ofisi nyingine kuhusu masuala ya kisheria kwa maelekezo ya Maafisa wa Sheria walio katika ngazi za juu. iii. Kuwasiliana na mwanasheria mkuu wa Serikali kuhusu masuala ya madai yanayogusu Wizara/Idara ya Serikali pale alipo iv. Kuwasiliana na mwanasheria mkuu wa Serikali kwenye masuala yote yanayohusu uandishi wa Sheria v. Kuhakikisha kwamba mikataba/makubaliano yanafanywa kwa kuzingatia sheria za nchi mahali alipo vi. Kuwasiliana na polisi na Mkurugenzi wa Mashitaka kuhusiana na kesi za jinai za sehemu alipo. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ya Sheria kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na waliomaliza mafunzo ya uwakili yanayotambuliwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali au kumaliza vizuri mafunzo ya uwakili ya mwaka mmoja katika Shule ya Sheria ya Tanzania (Law School of Tanzania). |
REMUNERATION | TGS.E. |