The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi Global, Mwadishi wa Habari Anahitajika

Nafasi za kazi
Je, wewe ni BINGWA wa HABARI za MJINI zinazowahusu MASTAA na WATU
maarufu?
Unaweza kufuatilia habari za UCHUNGUZI?
Una uelewa wa mambo ya BURUDANI hasa muziki wa NDANI na NJE ya NCHI?
Ukiwa na SIFA hizi fika OFISINI SINZA, MORI tarehe 04/12/2019 saa 4:00 asubuhi
kwa USAILI.
Watakaochaguliwa watapewa mafunzo na baadaye AJIRA.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0768-811 595.

Comments are closed.