The House of Favourite Newspapers

Nafasi za kazi 4 Ministry of Water and Irrigation, Hydrogeology

0

POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II (HYDROJIOLOJIA) – 4 POST
POST CATEGORY(S) WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER Ministry of Water and Irrigation
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji  (Pump test);
ii.    Kuchora ramani za awali za kiufundi; na
iii.    Kuhifadhi taarifa za kikazi (Field Data) zipatikanazo wakati wa utafiti wa maji chini ya ardhi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC HYDROGEOLOGY)
REMUNERATION TGS C

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply